DSpace Repository

Kiswahili na lugha nyingine za kiafrika katika muktadha wa utandawazi

Show simple item record

dc.contributor.author Obuchi, Samuel Moseti
dc.contributor.author Ochoi, Phillip F. O.
dc.date.accessioned 2023-11-08T07:03:40Z
dc.date.available 2023-11-08T07:03:40Z
dc.date.issued 2017
dc.identifier.uri https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/58/50
dc.identifier.uri http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8316
dc.description.abstract Makala haya yanatalii masuala mbalimbali yanayohusu Kiswahili na lugha nyingine za Kiafrika katika ulimwengu na malimwengu ya utandawazi. Kwa muda mrefu, wataalamu wengi wa masuala ya lugha na isimu wamekuwa mbioni katika kuuangazia uhusiano uliopo au unaopaswa kuwepo baina ya lugha na shughuli za kimsingi na maendeleo ya jamii. Mjadala huu hasa umekitwa kwenye mawazo na mikabala ambayo inahusiana moja kwa moja na nguvu na taratibu za utandawazi, ambapo inaaminika kwamba lugha zozote zile ambazo hazitumiwi katika shughuli na harakati za uzalishaji mali huenda zikamezwa na kusahauliwa kabisa hivi karibuni na utamaduni wa Kimagharibi ambao unajitokeza waziwazi katika harakati anuwai za kijamii kama vile uchumi, elimu, uvumbuzi na ugunduzi wa sayansi na teknolojia. Makala haya basi yanaonyesha namna Kiswahili na lugha nyingine za Kiafrika zinaweza kulindwa na kuhifadhiwa ili ziendelee kutumiwa na walio wengi katika shughuli zao za kila siku. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.subject Lugha en_US
dc.subject Utandawazi en_US
dc.title Kiswahili na lugha nyingine za kiafrika katika muktadha wa utandawazi en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Advanced Search

Browse

My Account