DSpace Repository

Mifanyiko ya kimofofonolojia ya konsonanti za nomino mkopo za kiturkana kutoka Kiswahili

Show simple item record

dc.contributor.author Lokidor, Edward Ekadeli
dc.contributor.author Iribemwangi, P. I.
dc.contributor.author Obuchi, Samuel Moseti
dc.date.accessioned 2023-11-08T06:46:32Z
dc.date.available 2023-11-08T06:46:32Z
dc.date.issued 2018
dc.identifier.uri https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/78/69
dc.identifier.uri http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8313
dc.description.abstract Makala haya yanahusu mifanyiko ya kimofofonolojia ya konsonanti za nomino mkopo za Kiturkana kutoka Kiswahili. Uchunguzi huu ulikusudia kuchunguza mabadiliko yanayokumba konsonanti za nomino za Kiswahili zinapokopwa na Kiturkana. Nadharia ya fonolojia zalishi asilia ilielekeza uchunguzi wetu katika kubaini mifanyiko ya kimofofonolojia ambayo konsonanti za nomino mkopo za Kiturkana kutoka Kiswahili hupitia na kanuni zinazodhibiti mifanyiko hii. Tulikusanya data yetu maktabani yaani kutoka kwa Bibilia ya Kiturkana, Misali na Kamusi ya Kiingereza — Kiturkana na kuwasilisha kifonetiki na kiothografia. Utafiti huu umebaini kwamba kuna fonimu ambazo zipo katika Kiswahili lakini hazipo katika Kiturkana. Uchunguzi wetu umetambua kwamba konsonanti za Kiswahili zinapokopwa na Kiturkana hupitia mabadiliko ya kifonolojia kama vile udhoofikaji, uimarikaji, udondoshaji, uchopekaji, usilimisho pamwe wa nazali na ubadala wa konsonanti ili nomino hizi zikubalike katika Kiturkana kwa lengo la kusahilisha utamkaji, kupata muundo mwafaka wa silabi na mofu ya jinsia ambayo hutumiwa kuainisha nomino za Kiturkana. en_US
dc.language.iso en en_US
dc.publisher Mwanga wa Lugha en_US
dc.subject Nomino Mkopo en_US
dc.subject Udhoofikaji en_US
dc.title Mifanyiko ya kimofofonolojia ya konsonanti za nomino mkopo za kiturkana kutoka Kiswahili en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Advanced Search

Browse

My Account