DSpace Repository

Uhusiano mwema kati ya mke na mume kama njia ya kudumisha ndoa

Show simple item record

dc.contributor.author Sawe, Angela
dc.contributor.author Makoti, Vifu
dc.contributor.author Obuchi, Samuel Moseti
dc.date.accessioned 2023-11-08T06:41:36Z
dc.date.available 2023-11-08T06:41:36Z
dc.date.issued 2018
dc.identifier.uri https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/99/89
dc.identifier.uri http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8312
dc.description.abstract Makala haya yanahusu uhusiano wa mke na mume katika ndoa kwa kuangazia Utendi wa Ayubu (UWA). Utendi huu, unamhusu Mtume mwaminifu wa Mungu aitwaye Ayubu aliyebarikiwa na mali nyingi sana. Alikuwa mcha Mungu na aliyeimarika kwa imani yake. Kutokana na imani hii na baraka nyingi alizokuwa nazo, shetani anamwonea wivu. Shetani anamwomba Mungu ruhusa ili aweze kumjaribu Ayubu. Aliporuhusiwa na Mungu, shetani anamfilisi na kumdhuru kiafya lakini Ayubu anasimama imara katika imani yake na wala hakumkana Mungu. Kwa upande mwingine, Rehema mkewe anaibuka kama mwanamke mnyenyekevu, mwaminifu na anayependa mumewe kwa dhati. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mwanga wa Lugha en_US
dc.subject Uhusiano en_US
dc.subject Urendi wa ayubu en_US
dc.title Uhusiano mwema kati ya mke na mume kama njia ya kudumisha ndoa en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Advanced Search

Browse

My Account