Moi University Open Access Repository

Juhudi za Kukabiliana na Kuangamia kwa Lugha za Kiafrika

Show simple item record

dc.contributor.author Obuchi, Samuel M.
dc.date.accessioned 2023-11-08T06:29:35Z
dc.date.available 2023-11-08T06:29:35Z
dc.date.issued 2019
dc.identifier.uri https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/166
dc.identifier.uri http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8311
dc.description.abstract Dhana ya kuhatarishwa kwa lugha imejadiliwa ndani ya muktadha wa dhana ya kufa kwa lugha. Hivyo, makala yamezijadili sababu mbalimbali zinazipelekea lugha, kuhatarishwa, na hatimaye kufa. Dhana za kuhatarishwa na kufa kwa lugha zimejadiliwa kwa pamoja kwa sababu zinasababishana, yaani, ya kwanza inapotokea, uwezekano wa ya pili kutokea ni yakini. Makala yamerejelea takwimu ambazo zinaonyesha kwamba zaidi 50% ya lugha zilizoko ulimwenguni huenda zikahatarishwa na kutoweka kufikia 2100. Hii ni kutokana na sababu za kiuchumi, kisiasa, kisera, hali kadhalika, kuhamia lugha kuu na changamoto ya kuibuka na kuongezeka kwa miji. Hali hii huweza kusababisha wasemaji wa lugha ndogondogo kuhamia lugha kuu kwa ajili ya kusaka kazi. Makala yameonyesha namna lugha hizo zilizo hatarini zinavyoweza kuokolewa, kutokana na juhudi za kisera. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mwanga wa Lugha en_US
dc.subject Kifo cha Lugha en_US
dc.subject Kuhatarishwa kwa Lugha en_US
dc.title Juhudi za Kukabiliana na Kuangamia kwa Lugha za Kiafrika en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Advanced Search

Browse

My Account