DSpace Repository

Athari za ulumbilugha miongoni mwa 'Chokoraa'

Show simple item record

dc.contributor.author Binyanya, Ruth M.
dc.contributor.author Mukhwana, Ayub
dc.contributor.author Obuchi, Samuel M.
dc.date.accessioned 2023-11-02T08:00:55Z
dc.date.available 2023-11-02T08:00:55Z
dc.date.issued 2020
dc.identifier.uri https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/189
dc.identifier.uri http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8295
dc.description.abstract Makala haya yanachunguza athari za ulumbilugha katika kutimiza nia za wakati husika za Chokoraa. Chokoraahutumia lugha mbalimbali katika mawasiliano yao. Uteuzi wa lugha itakayotumiwa na Chokoraa hutegemea muktadha maalum. Chokoraa hutumia Kiswahili, Sheng’, Kiingereza na lugha za asili katika mazungumzo yao. Ulumbilugha ndio huwafanya Chokoraa wakati mwingine kuchanganya ndimi kwa kutumia lugha ambazo wanazijua huku wakitaka kutimiza nia mahsusi. Kwa hali hii basi tunaweza kusema kuwa wanaulumbilugha huteua lugha kwa mujibu wa muktadha kutokana na ukweli kuwa lugha moja yaweza kuwa faafu katika muktadha mmoja na wala sio mwingine. Pia, makala haya yanaainisha athari za ulumbilugha kama zinavyojitokeza katika mazungumzo ya Chokoraa wa mtaa duni wa Mathare, jijini Nairobi. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mwangaa wa Lugha en_US
dc.subject Ulumbilugha en_US
dc.subject Lugha mkakati en_US
dc.title Athari za ulumbilugha miongoni mwa 'Chokoraa' en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Advanced Search

Browse

My Account