DSpace Repository

Taswira ya tanzu za sanaa za maonyesho ya jadi katika tamthilia ya Kiswahili: Mfano wa Mashetani, Pungwa, Ngoma ya Ng’wanamalundi na Mashetani Wamerudi

Show simple item record

dc.contributor.author Mose, Ezra Nyakundi
dc.contributor.author Obuchi, Samwel Moseti
dc.contributor.author Mosol, Mark Kandagor
dc.date.accessioned 2023-11-02T07:24:56Z
dc.date.available 2023-11-02T07:24:56Z
dc.date.issued 2020
dc.identifier.uri https://royalliteglobal.com/njhs/article/view/142
dc.identifier.uri http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8291
dc.description.abstract Ikisiri Makala haya yanachunguza tanzu za sanaa za maonyesho ya jadi na utamaduni wa kiafrika zilizotumiwa kiubunifu na waandishi katika utunzi wa tamthilia ya Kiswahili. Makala yanabainisha tanzu na tamaduni za kiafrika husika katika tamthilia za Mashetani, Pungwa, Ngoma ya Ng’wanamalundi na Mashetani Wamerudi na kufafanua mbinu walizozitumia watunzi katika kusababisha na kuibua maana ya ndani ya kazi zao kupitia kwa ejenzi wa taswira za kimaana. Makala haya vilevile yanashughulikia taswira zinazojengwa na tanzu za sanaa za maonyesho ya jadi na tamaduni za kiafrika zilizotumika katika utunzi wa tamthilia ya Kiswahili. Tamthilia nne za Mashetani, Pungwa, Ngoma ya Ng’wanamalundi na Mashetani Wamerudi zimehakikiwa kwa misingi yanadhadharia za Uhistoria mpya iliyoasisiwa na Greenblat na na nadharia ya Mwingilianomatini iliyoasisiwa na Julian Kristeva. Tanzu za sanaa za maonyesho ya jadi na tamaduni za kiafrika zilizotumiwa katika utunzi wa tamthilia zetu teule zilibainiswa na kisha tukazihakiki kubaini taswira zinazojengwa kupitia kwa matumizi ya aina hiyo katika kujenga dhamira za mwandishi na umbo zima la tamthilia ya Kiswahili. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Royallite publishers global en_US
dc.subject Sanaa za maonyesho en_US
dc.title Taswira ya tanzu za sanaa za maonyesho ya jadi katika tamthilia ya Kiswahili: Mfano wa Mashetani, Pungwa, Ngoma ya Ng’wanamalundi na Mashetani Wamerudi en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Advanced Search

Browse

My Account