DSpace Repository

Masuala Ibuka katika Fasihi: Mfano wa Insha za Kifasihi za "Staffroom Diary" katika Magazeti ya ‘Sunday Nation’ (Kenya) na ‘Citizen’ (Tanzania

Show simple item record

dc.contributor.author Wasike, Moses Wamalwa
dc.contributor.author Wafula, Magdaline
dc.contributor.author Kandagor, Mosol
dc.date.accessioned 2023-11-02T06:45:25Z
dc.date.available 2023-11-02T06:45:25Z
dc.date.issued 2020
dc.identifier.uri https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/192
dc.identifier.uri http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8287
dc.description.abstract Makala za Staffroom Diary ambazo huwasilishwa kwa mseto wa Kiigereza na Kiswahili, ni aina ya insha za kifasihi za mienendo ambazo mbali na kutekeleza jukumu la kuburudisha na kujipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa wasomaji wa magazeti ya “Sunday Nation” (Kenya) na “Citizen” (Tanzania) hutekeleza jukumu kuu la fasihi ambalo ni kuzindua na kuelimisha jamii kuhusu masuala anuai yanayoikabili. Kwa kuzingatia nadharia za Udenguzi na Uhalisia, makala hya yanabainisha masuala ibuka yanayojumuishwa katika uandishi wa Mwalimu Andrew. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.subject Masuala ibuka en_US
dc.subject Mtazamo-kike en_US
dc.title Masuala Ibuka katika Fasihi: Mfano wa Insha za Kifasihi za "Staffroom Diary" katika Magazeti ya ‘Sunday Nation’ (Kenya) na ‘Citizen’ (Tanzania en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Advanced Search

Browse

My Account