DSpace Repository

Uteuzi wa lugha katika mahubiri ya kikristo jijini Nairobi

Show simple item record

dc.contributor.author Kevogo, Alex Umbima
dc.contributor.author Kandagor, Mosol
dc.date.accessioned 2023-11-02T06:29:43Z
dc.date.available 2023-11-02T06:29:43Z
dc.date.issued 2021
dc.identifier.uri https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/204/181
dc.identifier.uri http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8286
dc.description.abstract Makala haya yalichunguza hoja zilizoathiri uteuzi wa lugha iliyotumiwa na wahubiri wa Kikristo jijini Nairobi katika mahubiri yao. Wahubiri kadha kutoka kwa makanisa mbalimbali walishirikishwa katika utafiti huu. Wahubiri hao walihitajika kujaza hojaji na vilevile kushiriki kwenye mahojiano ya ana kwa ana wakati wa kukusanya data. Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa hoja zilizoathiri uteuzi wa lugha katika mahubiri ya Kikristo jijini Nairobi ni pamoja na: aina ya washiriki katika mazungumzo, muktadha wa mazungumzo, yaliyomo kwenye mazungumzo, uamilifu wa mazungumzo na malengo ya mazungumzo. Aidha, tuligundua kuwa wahubiri wa Kikristo jijini Nairobi waliteua lugha ya kutumia katika mahubiri wakizingatia jukumu mahususi ambalo lingetekelezwa na lugha iliyoteuliwa kufanikisha malengo yao ya Kimawasiliano. Utafiti unabainisha umuhimu wa lugha ya Kiswahili katika kufanikisha mawasiliano ya kidini katika maeneo yaliyo na sifa ya wingilugha. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mwangaa wa Lugha en_US
dc.subject Mahubiri en_US
dc.subject Muktadha en_US
dc.title Uteuzi wa lugha katika mahubiri ya kikristo jijini Nairobi en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Advanced Search

Browse

My Account