DSpace Repository

Mabadiliko ya kimaana katika methali za kijinsia: mifano kutoka jamii ya wanyankole

Show simple item record

dc.contributor.author Arinaitwe, Annensia
dc.contributor.author Kandagor, Mosol
dc.contributor.author Wafula, Magdaline
dc.date.accessioned 2023-11-02T05:55:36Z
dc.date.available 2023-11-02T05:55:36Z
dc.date.issued 2023
dc.identifier.uri https://doi.org/10.58721/jkal.v1i1.94
dc.identifier.uri http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8279
dc.description.abstract Makala hii inachunguza mabadiliko kimaana na kimatumizi katika methali za kijinsia katika jamii ya Wanyankole. Lengo kuu la makala hii ni kubainisha athari ya mabadiliko katika jamii kwa kujikita kwenye ufasiri wa maana na matumizi ya methali za kijinsia miongoni mwa Wanyankole nchini Uganda. Mbinu za mahojiano zilitumika katika ukusanyaji wa data. Utafiti huu ulihusisha methali kumi na tano za kijinsia katika jamii ya Wanyankole. Uteuzi huo ulifanyika kimaksudi kwa kuwa utafiti ulilenga kuchanganua methali zilizohusu jinsia za kike na kiume katika jamii ya Wanyankole. Nadharia ya Udenguzi ilitumika katika uchanganuzi wa data. Matokeo ya utafiti huu yalibainisha kuwa kadri ulimwengu unavyobadilika ndivyo jamii ya Wanyankole inavyobadilika. Hivyo basi mabadiliko haya yameathiri ufasiri wa maana na matumizi katika methali za kijinsia za Wanyankole. Makala hii inapendekeza kuwa baadhi ya methali zinafaa kuchunguzwa upya kiufasiri, kimuundo na kimatumizi ili uamilifu wake uwiane na jamii ya kisasa. en_US
dc.language.iso en en_US
dc.subject Jinsia en_US
dc.subject Kinyankole en_US
dc.title Mabadiliko ya kimaana katika methali za kijinsia: mifano kutoka jamii ya wanyankole en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

Files Size Format View

There are no files associated with this item.

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Advanced Search

Browse

My Account