Moi University Open Access Repository

UJASIRIAMALI WA KISWAHILI NCHINI KENYA

Show simple item record

dc.contributor.author Cherono, N. Jesca
dc.contributor.author Ogechi, N. Oyori
dc.date.accessioned 2023-07-24T08:29:44Z
dc.date.available 2023-07-24T08:29:44Z
dc.date.issued 2018
dc.identifier.uri http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/7868
dc.description.abstract Makala hii inatathmini shughuli za kiujasiriamali nchini Kenya kwa kutumia ‘Kiswahili’. Shughuli zinazoangaziwa zinajikita katika maeneo mbalimbali ambamo aina fulani za Kiswahili zinajitokeza kwa kuzingatia kwamba kuna “viswahili” vingi vinavyotumiwa nchini Kenya. Neno viswahili katika muktadha huu linatumika kwa maana ya aina mbalimbali za Kiswahili zisizo sanifu ambazo zinapatikana katika shughuli za kila siku zinazoendeshwa na binadamu. Viswahili hivi hutokana na wazungumzaji kutoka makabila na maeneo mbalimbali nchini Kenya wanaokitumia Kiswahili. Tumeendesha mjadala unaojaribu kuonyesha jinsi gani ujasiriamali wa Kiswahili umechangia katika kukua kwa Kiswahili katika kipindi cha zaidi ya miaka hamsini iliyopita. Mjadala huu umeongozwa na dhana ya ujasiriamali kama inavyofasiriwa na taaluma ya uchumi kwa kuiegemeza katika muktadha wa uchumi na lugha. Kwa hivyo, tumeangazia ujasiriamali katika shughuli mbalimbali kama vile vyombo vya habari, biashara kupitia mabango na uchapishaji. Isitoshe, tathmini imefanywa ili kudhihirisha athari chanya na hasi kisarufi na kimawasiliano katika kukua kwa Kiswahili kutokana na matumizi yake kiujasiriamali ili kufichua msambao wa athari hizo kwa mataifa mengine ya Afrika Mashariki en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Moi university press en_US
dc.subject Ujasiriamali en_US
dc.subject Viswahili en_US
dc.title UJASIRIAMALI WA KISWAHILI NCHINI KENYA en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Advanced Search

Browse

My Account