DSpace Repository

Methali Katika Jamii Ya Wanandi: Chimbuko Na Uainishaji Wake

Show simple item record

dc.contributor.author Naomi, C. Jescah
dc.contributor.author Biwott, K. Anthony
dc.date.accessioned 2023-07-24T08:25:28Z
dc.date.available 2023-07-24T08:25:28Z
dc.date.issued 2018
dc.identifier.uri http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/7867
dc.description.abstract Makala haya yanaangazia chimbuko la “kalewenoik” yaani methali za Kinaandi na uainishaji wa methali zenyewe huku yakijaribu kubainisha hadhira iliyotungiwa methali hizo. Kwa mfano iwapo zilitungiwa watu maalum na iwapo zilisemwa wakati maalum. Aidha, tumeshughulikia malengo ya methali katika jamii ya Kinandi pamoja na umuhimu kwa wasemaji, wasemewa na jamii kwa jumla. Tumejaribu pia kutafsiri baadhi ya methali hizi na kutolea maana na matumizi katika jamii husika. Hii ni kutokana na utafiti uliofanyika katika Kaunti ya Nandi na Uasin Gishu ambapo tuliwasaili wazee 15 tofauti wenye umri wa miaka 65 na zaidi. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Tuki en_US
dc.subject Methali en_US
dc.subject Chimbuko en_US
dc.title Methali Katika Jamii Ya Wanandi: Chimbuko Na Uainishaji Wake en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Advanced Search

Browse

My Account