Yesava, Steven
(Moi University Press, 2019)
Makala haya yamechunguza ufemerali katika nyimbo za muziki wa Bongofleva nchini Tanzania, mifano kutoka katika nyimbo teule za wasanii wa muziki huu ambao nyimbo zao zimeonekana kuwa ufemerali. Istilahi ufemerali iliyotumika ...