Okal, Bernard Odoyo
(Moi University Press, 2019)
Wataalamu mbalimbali wa Kiswahili wameshughulikia tafiti za hiponimia ya kategoria za nomino na vitenzi huku wakitioa mifano anuwai. Hata hivyo , tafiti hizohazijadhirisha mikabala inayoweza kutumiwa kuichanganua kama vile ...