Naomi, C. Jescah; Biwott, K. Anthony
(Tuki, 2018)
Makala haya yanaangazia chimbuko la “kalewenoik” yaani methali za Kinaandi na
uainishaji wa methali zenyewe huku yakijaribu kubainisha hadhira iliyotungiwa methali
hizo. Kwa mfano iwapo zilitungiwa watu maalum na iwapo ...