Biwott, Anthony Kipkoech
(2021)
Mviga ni mchakato wa kiutamaduni unaohusisha matambiko yanayotekelezwa kupitia
kwa ibada maalum. Utafiti huu ulichunguza mviga wa maridhiano miongoni mwa
jamii ya Wanandi kama kipera cha utanzu wa maigizo katika fasihi ...