Jepkoech Singoei, Jane; Kandagor, Mosol; Mwanakombo, Mohamed
(Editon Consortium Publishing, 2020-09-30)
Utafiti huu ulidhamiria Kupambanua namna matumizi ya mikakati ya kutafsiri, ilivyochangia katika uandishi upya wa Bukuit Ne Tilil. Utafiti huu uliongozwa na nadharia mbili, ambazo ni nadharia ya tafsiri vitendo ambayo ...