Nyakundi, Ezra Mose; Obuchi, Samuel Moseti; Kandagor, Mark Mosol
(Nairobi Journal, 2020)
Makala haya yanachunguza tanzu za sanaa za maonyesho
ya jadi na utamaduni wa kiafrika zilizotumiwa kiubunifu na
waandishi katika utunzi wa tamthilia ya Kiswahili. Makala
yanabainisha tanzu na tamaduni za kiafrika husika ...