Wasike, Moses Wamalwa; Wafula, Magdaline; Kandagor, Mosol
(2020)
Makala za Staffroom Diary ambazo huwasilishwa kwa mseto wa Kiigereza na Kiswahili, ni aina ya insha za kifasihi za mienendo ambazo mbali na kutekeleza jukumu la kuburudisha na kujipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa wasomaji ...