Kawonga, Gervas
(Moi University Press, 2019)
Tafiti zimeonesha kuwa kimatumzi, kiswahili kinachukua nafsi ya pili katika maeneo ya umma ambayo katika makala haya yametokana na utafiti wa uwandani uliofanyika katika jiji la Mbeya nchini Tanzania mwaka 2018.