Obuchi, Samuel M.; Sangili, Nabeta K. N.
(Mwangaa wa Lugha, 2017)
Makala haya yanaangaza diskosi tepetevu kama inavyojitokeza katika lugha iliyotumiwa na viongozi mbalimbali wa Afrika Mashariki kuhusiana na umiliki wa kisiwa cha Migingo. Wandishi wanajadili matumizi ya lugha ya viongozi ...