Achieng, Vivian Odhiambo
(Moi University, 2024)
IKISIRI
Utafiti huu umeshughulikia mwelekeo wa kiubwege katika tamthilia ya Kiswahili,
mintarafu ya Amezidi (1995) na Beluwa (2012). Nadharia iliyoongoza kazi hii ni
nadharia ya Ubwege iliyoasisiwa na Albert Camus ambayo, ...