Nyamweya Omari Samwel
(Moi University, 2018-08)
Waandishi wanawake wameonyeshwa kama wanaondika kuhusu unyanyasaji wa wanawake pekee hata ikiwa mawanda ya kazi yao ni mapana. Pia, watafiti wengi wameguzia swala la ukandamizaji wa wanawake bila kuzungumzia wanajamii ...