DSpace Repository

Namna matumizi ya mikakati ya kutafsiri, kama uteuzi na mpangilio wa maneno, ilivyochangia katika uandishi upya wa Bukuit Ne Tilil.

Show simple item record

dc.contributor.author Jepkoech Singoei, Jane
dc.contributor.author Kandagor, Mosol
dc.contributor.author Mwanakombo, Mohamed
dc.date.accessioned 2021-05-12T07:23:25Z
dc.date.available 2021-05-12T07:23:25Z
dc.date.issued 2020-09-30
dc.identifier.uri http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/4433
dc.description.abstract Utafiti huu ulidhamiria Kupambanua namna matumizi ya mikakati ya kutafsiri, ilivyochangia katika uandishi upya wa Bukuit Ne Tilil. Utafiti huu uliongozwa na nadharia mbili, ambazo ni nadharia ya tafsiri vitendo ambayo ilitumika kubaini jinsi tofauti za kimazingira kati ya hadhira ya matini asilia na ya matini pokezi ilivyopelekea uandishi upya kufanyika wakati wa kutafsiri. Nadharia ya pili ni ya ulinganifu, ambapo matini asilia ililinganishwa na matini pokezi ili kubaini kama ujumbe ulihifadhiwa katika matini tafsiri. Aidha, tamaduni, matumizi ya msamiati na sarufi zililinganishwa kwa kuchunguza mikakati na mbinu zilizotumika kutafsiri matini asilia, na hivyo kubaini uandishi upya katika matini pokezi. Data zilikusanywa kupitia uchunguzi maktabani na vilevile kuwasaili washikadau katika Ofisi ya Utafsiri wa Bibilia ya Kapsabet na Shirika la Kutafsiri Biblia nchini, pamoja na wazungumza lugha ya Kikalenjin ambao walituelekeza juu ya matumizi ya baadhi ya maneno. Usampuli wa kimakusudi ulitumiwa ili kupata data iliyotumika katika uchanganuzi. Kitabu cha Mithali katika Agano la Kale kiliteuliwa kwa minajili ya utafiti huu. Utafiti huu ulibaini kuwa matumizi ya mikakati ya kutafsiri ilichangia uandishi upya wa kazi tafsiri. Uchunguzi huu ulipendekeza kuwa mashirika ya kufanya tafsiri yaimarishwe kwa kupewa uthamini ili kutafsiri makala nyingi Zaidi. en_US
dc.publisher Editon Consortium Publishing en_US
dc.subject kutafsiri en_US
dc.subject uteuzi en_US
dc.subject mtafsiri en_US
dc.subject Bukuit ne Tilil en_US
dc.title Namna matumizi ya mikakati ya kutafsiri, kama uteuzi na mpangilio wa maneno, ilivyochangia katika uandishi upya wa Bukuit Ne Tilil. en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Advanced Search

Browse

My Account