WACHARO, WACHARO JULIA
(MOI UNIVERSITY, 2013-01-12)
Istilahi mawasiliano ni tafsiri ya neno la Kiingereza „Communication‟ ambalo lina
asili ya Kilatini „Com-uni-care‟ linalomaanisha kujadiliana au kuwa na mazungumzo.
Mawasiliano ni mchakato ambao kwao habari hupokezwa ...