MATARA PHILIP NDEMO
(MOI UNIVERSITY, 2014-01-12)
Utafiti huu ni uchanganuzi wa lugha ya amani na maridhiano katika muziki nchini Kenya
(2008-2012). Ulilenga kuchanganua matumizi ya kipekee ya lugha na jinsi maudhui ya
amani na maridhiano yanavyowasilishwa katika muziki ...