Kamotho John Njoroge
(MOI UNIVERSITY, 2017-01-12)
Utafiti huu umehusisha uchunguzi wa usuli wa sanaa ya tafsiri. Utafiti umechanganua
kipengele cha ukiushi katika tamthilia Nitaolewa Nikipenda ambayo ni tafsiri ya Kiswahili
ya tamthilia Ngaahika Ndeenda. Utafiti huu ...