Shitemi, Naomi L.
(Moi University, 2011-03-11)
Mhadhara huu unajadili lugha kama bidhaa yenye sifa za uamilifu changamano. Ni bidhaa ambayo ina umuhimu na thamani ya kisarafu katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii na kwa hivyo inahitaji kupangiwa, kuendelezwa, kudumishwa ...