Abstract:
Madhumuni ya makala haya ni kuhoji kwamba licha ya ya kuwepo kwa familia za aina mbalimabali na zilizo changamano nchini kenya, watunzi wa hadhiti za watoto wanaendela kusawiri familia kiini ambazo kimsingi huwa na baba , mama,ihali kihalisa wapo watoto wanaotokana na familia za wazazi mmoja, familia za malezi na wengine kutokana taasisi za malezi na hata familia ambapo walezi wa watoto ni babu na nyanya za watoto wanaolewa.