dc.contributor.author | Yesava, Steven | |
dc.date.accessioned | 2020-12-08T10:10:01Z | |
dc.date.available | 2020-12-08T10:10:01Z | |
dc.date.issued | 2019 | |
dc.identifier.uri | http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/3782 | |
dc.description.abstract | Makala haya yamechunguza ufemerali katika nyimbo za muziki wa Bongofleva nchini Tanzania, mifano kutoka katika nyimbo teule za wasanii wa muziki huu ambao nyimbo zao zimeonekana kuwa ufemerali. Istilahi ufemerali iliyotumika katika makala ya imetoholewa kutoka lugha ya kiingereza katika neno" Ephemeal" likimaanisha hali ya kitu kupendwa sana, kuvuna na baada ya muda mfupi kitu hicho kuchuja na kupoteza mvuto au umaarufu wake. | en_US |
dc.language.iso | en | en_US |
dc.publisher | Moi University Press | en_US |
dc.subject | Ufemerali | en_US |
dc.subject | Nyimbo | en_US |
dc.subject | Bongofleva | en_US |
dc.title | Ufemerali katika Nyimbo za muziki wa Bongofleva nchini Tanzania: Mifano kutoka Nyimbo Teule | en_US |
dc.type | Article | en_US |