Kirui, Cherono C.
(Moi University, 2022)
Japo bunilizi nyingi za watoto katika fasihi ya Kiswahili zinabainisha sifa za
mwingilianotanzu kiumbo, hakuna utafiti ambao umeangazia suala hili. Utafiti huu
unachunguza namna mwingilianotanzu unachimuza maudhui ...