Njenga, Alice Wanjiru
(Moi University, 2021)
Uongozi ni dhana muhimu sana katika jamii. Jamii zote ulimwenguni huwa na kiongozi
wa aina fulani ambaye hutwikwa majukumu ya kuhakikisha kuwa watu wote walio
chini yake wanapokea usawa kutokana na uongozi wake. Swala ...