Mawunyo Adzo, Forfoe
(Moi University, 2022)
Azma ya kutumia mifumo ya kielektroniki katika huduma za afya, inayojulikana kama
huduma za afya kielekroniki, ni kuboresha kiwango na upatikanaji wa huduma za afya
kwa wagonjwa. Aina mojawapo ya huduma za afya ...