Magugu, Vincent Njeru
(2022)
Katika kusoma riwaya ya Caitaani Mutharaba-ini iliyoandikwa na Ngũgĩ wa Thiong’o
na tafsiri yake kwa Kiswahili, Shetani Msalabani na kwa Kiingereza, Devil on the
Cross, inabainika kwamba kuna tofauti zinazojitokeza katika ...