Kiprotich, Priscah J
(Moi University, 2022)
Tenzi ni tungo za kale katika historia ya ushairi na Fasihi ya Kiswahili. Aidha, tenzi zinahusisha masimulizi marefu yaliyosukwa kihadithi na hushirikisha wahusika wanaojenga mfululizo wa matukio katika hadithi mahususi. ...