Sawe Angela
(Moi University, 2018-10)
Utafiti huu unahusu usawiri wa mwanamke katika kazi teule za fasihi na jinsi
maandiko ya kidini yanavyomwangalia mwanamke katika jamii. Kazi hizi teule za
fasihi ni Utendi wa Mwanakupona (1858), Utendi wa Ayubu (1723) ...