Murimi, Jackline Njeri
(Moi University, 2016-11)
Taarab ni muziki wenye umaarufu mkubwa katika Afrika Mashariki kwa zaidi ya karne moja. Muziki wa taarab umepata mabadiliko makubwa na kusababisha kuwepo kwa aina mbili kuu za Taarab: Taarab Asili na Modern Taarab.Utafiti ...