Wafula, Enos Barasa
(Moi University, 2021)
Ukiukaji wa kanuni za kitahajia na kisarufi katika lugha husababisha makosa. Makosa
yanayofanywa na wanafunzi wa shule husababisha matokeo duni katika mitihani.
Baraza la Mitihani ya Kitaifa (KNEC) hutathmini watahiniwa ...