Ibala Harriet Khatenje
(Moi University, 2018-11)
Utafiti huu ulichunguza uleksikalishaji, ukriolishaji na mikakati ya kiwingi-lugha
ambayo hutumika katika ubadilishaji msimbo baina ya Sheng’ na Kiswahili.
Madhumuni ya utafiti yalikuwa kuhakiki mbinu za uleksikalishaji ...