Lokidor, Edward Ekadeli; Iribemwangi, P. I.; Obuchi, Samuel Moseti
(Mwanga wa Lugha, 2018)
Makala haya yanahusu mifanyiko ya kimofofonolojia ya konsonanti za nomino mkopo za Kiturkana kutoka Kiswahili. Uchunguzi huu ulikusudia kuchunguza mabadiliko yanayokumba konsonanti za nomino za Kiswahili zinapokopwa na ...