Muigai, Mary Njambi
(Moi University, 2024)
Riwaya za Kiswahili zilizoandikwa katika miaka ya hivi karibuni zinakaidi uandishi
uliozoeleka wa kimapokeo uliopendekezwa na akina Aristotle, na kugeukia mtindo
mpya wa uandishi wa kimajaribio wa kibaadausasa. Utafiti ...