Waititu, Francis G
(Moi University, 2015-10)
Tamasha za drama ambazo hufanywa kila mwaka nchini Kenya ni mojawapo ya nyenzo
zilizowekwa na wizara ya Elimu nchini kutoa elimu kwa vijana. Tamasha hizi ambazo
zinajumuisha wanafuzi kutoka shule za malezi, msingi, ...