Ngisirei Muge Tecla C.
(Moi University, 2018-11)
Utafiti huu ulilenga kushughulikia umuhimu wa upole katika mazungumzo kwa
kuchanganua mikakati ya upole inayotumika katika vipindi vya Sobetab Kapchi
(Maisha ya Jamii) kwenye idhaa ya KASS FM. Ili kutekeleza jukumu hilo, ...