Arinaitwe, Annensia; Kandagor, Mosol; Wafula, Magdaline
(2023)
Makala hii inachunguza mabadiliko kimaana na kimatumizi katika methali za kijinsia katika jamii ya Wanyankole. Lengo kuu la makala hii ni kubainisha athari ya mabadiliko katika jamii kwa kujikita kwenye ufasiri wa maana ...