Moi University Open Access Repository

Browsing by Author "Obuchi, Samuel Moseti"

Browsing by Author "Obuchi, Samuel Moseti"

Sort by: Order: Results:

  • Obuchi, Samuel Moseti; Ochoi, Phillip F. O. (2017)
    Makala haya yanatalii masuala mbalimbali yanayohusu Kiswahili na lugha nyingine za Kiafrika katika ulimwengu na malimwengu ya utandawazi. Kwa muda mrefu, wataalamu wengi wa masuala ya lugha na isimu wamekuwa mbioni katika ...
  • Lokidor, Edward Ekadeli; Iribemwangi, P. I.; Obuchi, Samuel Moseti (Mwanga wa Lugha, 2018)
    Makala haya yanahusu mifanyiko ya kimofofonolojia ya konsonanti za nomino mkopo za Kiturkana kutoka Kiswahili. Uchunguzi huu ulikusudia kuchunguza mabadiliko yanayokumba konsonanti za nomino za Kiswahili zinapokopwa na ...
  • Sawe, Angela; Makoti, Vifu; Obuchi, Samuel Moseti (Mwanga wa Lugha, 2018)
    Makala haya yanahusu uhusiano wa mke na mume katika ndoa kwa kuangazia Utendi wa Ayubu (UWA). Utendi huu, unamhusu Mtume mwaminifu wa Mungu aitwaye Ayubu aliyebarikiwa na mali nyingi sana. Alikuwa mcha Mungu na aliyeimarika ...