Please use this identifier to cite or link to this item: http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8312
Title: Uhusiano mwema kati ya mke na mume kama njia ya kudumisha ndoa
Authors: Sawe, Angela
Makoti, Vifu
Obuchi, Samuel Moseti
Keywords: Uhusiano
Urendi wa ayubu
Issue Date: 2018
Publisher: Mwanga wa Lugha
Abstract: Makala haya yanahusu uhusiano wa mke na mume katika ndoa kwa kuangazia Utendi wa Ayubu (UWA). Utendi huu, unamhusu Mtume mwaminifu wa Mungu aitwaye Ayubu aliyebarikiwa na mali nyingi sana. Alikuwa mcha Mungu na aliyeimarika kwa imani yake. Kutokana na imani hii na baraka nyingi alizokuwa nazo, shetani anamwonea wivu. Shetani anamwomba Mungu ruhusa ili aweze kumjaribu Ayubu. Aliporuhusiwa na Mungu, shetani anamfilisi na kumdhuru kiafya lakini Ayubu anasimama imara katika imani yake na wala hakumkana Mungu. Kwa upande mwingine, Rehema mkewe anaibuka kama mwanamke mnyenyekevu, mwaminifu na anayependa mumewe kwa dhati.
URI: https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/99/89
http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8312
Appears in Collections:School of Arts and Social Sciences

Files in This Item:
File Description SizeFormat 
Samuel Moseti.pdf454.17 kBAdobe PDFView/Open


Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.