Please use this identifier to cite or link to this item: http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8311
Full metadata record
DC FieldValueLanguage
dc.contributor.authorObuchi, Samuel M.-
dc.date.accessioned2023-11-08T06:29:35Z-
dc.date.available2023-11-08T06:29:35Z-
dc.date.issued2019-
dc.identifier.urihttps://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/166-
dc.identifier.urihttp://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8311-
dc.description.abstractDhana ya kuhatarishwa kwa lugha imejadiliwa ndani ya muktadha wa dhana ya kufa kwa lugha. Hivyo, makala yamezijadili sababu mbalimbali zinazipelekea lugha, kuhatarishwa, na hatimaye kufa. Dhana za kuhatarishwa na kufa kwa lugha zimejadiliwa kwa pamoja kwa sababu zinasababishana, yaani, ya kwanza inapotokea, uwezekano wa ya pili kutokea ni yakini. Makala yamerejelea takwimu ambazo zinaonyesha kwamba zaidi 50% ya lugha zilizoko ulimwenguni huenda zikahatarishwa na kutoweka kufikia 2100. Hii ni kutokana na sababu za kiuchumi, kisiasa, kisera, hali kadhalika, kuhamia lugha kuu na changamoto ya kuibuka na kuongezeka kwa miji. Hali hii huweza kusababisha wasemaji wa lugha ndogondogo kuhamia lugha kuu kwa ajili ya kusaka kazi. Makala yameonyesha namna lugha hizo zilizo hatarini zinavyoweza kuokolewa, kutokana na juhudi za kisera.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMwanga wa Lughaen_US
dc.subjectKifo cha Lughaen_US
dc.subjectKuhatarishwa kwa Lughaen_US
dc.titleJuhudi za Kukabiliana na Kuangamia kwa Lugha za Kiafrikaen_US
dc.typeArticleen_US
Appears in Collections:School of Arts and Social Sciences

Files in This Item:
There are no files associated with this item.


Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.