Please use this identifier to cite or link to this item: http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8295
Title: Athari za ulumbilugha miongoni mwa 'Chokoraa'
Authors: Binyanya, Ruth M.
Mukhwana, Ayub
Obuchi, Samuel M.
Keywords: Ulumbilugha
Lugha mkakati
Issue Date: 2020
Publisher: Mwangaa wa Lugha
Abstract: Makala haya yanachunguza athari za ulumbilugha katika kutimiza nia za wakati husika za Chokoraa. Chokoraahutumia lugha mbalimbali katika mawasiliano yao. Uteuzi wa lugha itakayotumiwa na Chokoraa hutegemea muktadha maalum. Chokoraa hutumia Kiswahili, Sheng’, Kiingereza na lugha za asili katika mazungumzo yao. Ulumbilugha ndio huwafanya Chokoraa wakati mwingine kuchanganya ndimi kwa kutumia lugha ambazo wanazijua huku wakitaka kutimiza nia mahsusi. Kwa hali hii basi tunaweza kusema kuwa wanaulumbilugha huteua lugha kwa mujibu wa muktadha kutokana na ukweli kuwa lugha moja yaweza kuwa faafu katika muktadha mmoja na wala sio mwingine. Pia, makala haya yanaainisha athari za ulumbilugha kama zinavyojitokeza katika mazungumzo ya Chokoraa wa mtaa duni wa Mathare, jijini Nairobi.
URI: https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/189
http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8295
Appears in Collections:School of Arts and Social Sciences

Files in This Item:
There are no files associated with this item.


Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.