Please use this identifier to cite or link to this item:
http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8287
Title: | Masuala Ibuka katika Fasihi: Mfano wa Insha za Kifasihi za "Staffroom Diary" katika Magazeti ya ‘Sunday Nation’ (Kenya) na ‘Citizen’ (Tanzania |
Authors: | Wasike, Moses Wamalwa Wafula, Magdaline Kandagor, Mosol |
Keywords: | Masuala ibuka Mtazamo-kike |
Issue Date: | 2020 |
Abstract: | Makala za Staffroom Diary ambazo huwasilishwa kwa mseto wa Kiigereza na Kiswahili, ni aina ya insha za kifasihi za mienendo ambazo mbali na kutekeleza jukumu la kuburudisha na kujipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa wasomaji wa magazeti ya “Sunday Nation” (Kenya) na “Citizen” (Tanzania) hutekeleza jukumu kuu la fasihi ambalo ni kuzindua na kuelimisha jamii kuhusu masuala anuai yanayoikabili. Kwa kuzingatia nadharia za Udenguzi na Uhalisia, makala hya yanabainisha masuala ibuka yanayojumuishwa katika uandishi wa Mwalimu Andrew. |
URI: | https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/192 http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8287 |
Appears in Collections: | School of Arts and Social Sciences |
Files in This Item:
File | Description | Size | Format | |
---|---|---|---|---|
Wasike etal.pdf | 1.02 MB | Adobe PDF | View/Open |
Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.