Please use this identifier to cite or link to this item: http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8287
Full metadata record
DC FieldValueLanguage
dc.contributor.authorWasike, Moses Wamalwa-
dc.contributor.authorWafula, Magdaline-
dc.contributor.authorKandagor, Mosol-
dc.date.accessioned2023-11-02T06:45:25Z-
dc.date.available2023-11-02T06:45:25Z-
dc.date.issued2020-
dc.identifier.urihttps://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/192-
dc.identifier.urihttp://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/8287-
dc.description.abstractMakala za Staffroom Diary ambazo huwasilishwa kwa mseto wa Kiigereza na Kiswahili, ni aina ya insha za kifasihi za mienendo ambazo mbali na kutekeleza jukumu la kuburudisha na kujipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa wasomaji wa magazeti ya “Sunday Nation” (Kenya) na “Citizen” (Tanzania) hutekeleza jukumu kuu la fasihi ambalo ni kuzindua na kuelimisha jamii kuhusu masuala anuai yanayoikabili. Kwa kuzingatia nadharia za Udenguzi na Uhalisia, makala hya yanabainisha masuala ibuka yanayojumuishwa katika uandishi wa Mwalimu Andrew.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.subjectMasuala ibukaen_US
dc.subjectMtazamo-kikeen_US
dc.titleMasuala Ibuka katika Fasihi: Mfano wa Insha za Kifasihi za "Staffroom Diary" katika Magazeti ya ‘Sunday Nation’ (Kenya) na ‘Citizen’ (Tanzaniaen_US
dc.typeArticleen_US
Appears in Collections:School of Arts and Social Sciences

Files in This Item:
File Description SizeFormat 
Wasike etal.pdf1.02 MBAdobe PDFView/Open


Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.