Please use this identifier to cite or link to this item: http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/7867
Title: Methali Katika Jamii Ya Wanandi: Chimbuko Na Uainishaji Wake
Authors: Naomi, C. Jescah
Biwott, K. Anthony
Keywords: Methali
Chimbuko
Issue Date: 2018
Publisher: Tuki
Abstract: Makala haya yanaangazia chimbuko la “kalewenoik” yaani methali za Kinaandi na uainishaji wa methali zenyewe huku yakijaribu kubainisha hadhira iliyotungiwa methali hizo. Kwa mfano iwapo zilitungiwa watu maalum na iwapo zilisemwa wakati maalum. Aidha, tumeshughulikia malengo ya methali katika jamii ya Kinandi pamoja na umuhimu kwa wasemaji, wasemewa na jamii kwa jumla. Tumejaribu pia kutafsiri baadhi ya methali hizi na kutolea maana na matumizi katika jamii husika. Hii ni kutokana na utafiti uliofanyika katika Kaunti ya Nandi na Uasin Gishu ambapo tuliwasaili wazee 15 tofauti wenye umri wa miaka 65 na zaidi.
URI: http://ir.mu.ac.ke:8080/jspui/handle/123456789/7867
Appears in Collections:School of Education

Files in This Item:
File Description SizeFormat 
Makala ya Methali ktk jamii ya Wanandi pdf.pdf477.34 kBAdobe PDFView/Open


Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.